Precision Air yatangaza hasara ya Bilioni 30.4 kwa mwaka 2012

Precision Air yatangaza hasara ya Bilioni 30.4 kwa mwaka 2012

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
8,397
Reaction score
7,974
Cha kushangaza,,,

  • Idadi ya abiria imeongezeka kwa asilimia 9.5
  • Total revenue nayo imeongezeka kwa asilimia 8.2
  • Mwaka 2011 kampuni hii ilitangaza faida

My Take:
Ukiangalia tangazo lao kuwa kampuni is PLEASED to announce full year results na ukweli kuwa hayo mambo matatu makuu hapo juu ni kiashiria cha faida kwa kampuni lakini wao wamepata loss, tena kubwa mno katika historia ya aviation industry na kwa kampuni ndogo kama yao. Napata shida sana kuwaamini hawa jamaa,,, hii inamaanisha kuwa either wao wenyewe wana tatizo la management,,,

Au ndio mpango mzima kwa kulazimisha bail out kwa pesa zetu walipa kodi. Dr Mgimwa mzee wangu, open your eyes. How come someone is pleased to announce loss,,,, they dont regret to announce loss. Sauda Rajabu ni janga la kitaifa.

PW Loss.jpg
 
View attachment 110621

Sauda kaingia lini kama siyo kumuonea? Kama uliwekeza bila kututafuta Ulukolokwitanga sisi washauri pole yako VA Business Assurance Services
 
Last edited by a moderator:
ni njia mojawapo ya kupata msaada kutoka serikalin sababu nchi yenyewe haina ndege ipo ya rais tu,najua watapata pesa za walipa kodi na kodi awatolipa
 
Sauda kaingia lini kama siyo kumuonea? Kama uliwekeza bila kututafuta Ulukolokwitanga sisi washauri pole yako VA Business Assurance Services

Naona tangu ameingia Sauda mambo yamekuwa mabaya zaidi. Mkuu wakati wa kuwekeza kwenye biashara za bongo haujafika ukizingatia experience ya Nico. Inshallah wakati wa kuwekeza ukifika nitakutafuta mkuu Ndachuwa.
 
Last edited by a moderator:
Au ni janja ya huyo Mkurungezi mpya, anataka ionekane ameanza wakati kampuni imechechemea,mwakani atangaze faida ionekane amefanya maajabu. Chezea Wakenya wewe!!!!watatatumaliza kwenye soko la ajira kwa sababu ya viujanja kama hivi.....fungueni macho.
 
Dar es Salaam - Precision Air shares fetched Sh495 at the first trading yesterday giving investors a marginal Sh20 profit per share.
Investors had purchased shares at Sh475 each during the Initial Public Offering early last month and sold, at yesterday's, trading at Sh20 higher. About 6,000 shares were offered and bought at DSE yesterday. Only two firms Precision Air and Twiga cement sold shares at the firm that has become less active by the day.
Yesterday high demand for Precision Air shares to be known by the stock market name of PAL, brought a sigh of relief to investors who were already worried by the airline's underperformance and the IPO, which was undersubscribed. Precision Air Services concluded its Initial Public Offering on 4th November 2011. The three week IPO was extended to four weeks to allow investors in Kenya to participate.
The company co-owned by Kenya Airways offered 58,841,750 shares for sale during the IPO seeking to raise Sh27.9 billion in the exercise to finance an ambitious fleet modernisation and expansion plan although it managed to collect Sh12 billion only.
The price for each share during the IPO was pegged at Sh475. Yesterday, the most successful airline officially listed on the DSE 193,856,750 shares becoming the first local airline to trade at the Dar bourse.
The listing took place at the DSE premises and was officiated by the minister for Transport Omari Nundu. The airline's founder and Chairman Michael Shirima, DSE's Chief Executive Officer Gabriel Kitua and officials from the Capital Markets and Securities Authority (CMSA) attended the ceremony.
Speaking during the listing, Mr Nundu commended Precision Air for being on the forefront of the airline industry in Tanzania and for its achievement in listing on the DSE.
"Precision Air is the designated second national carrier in Tanzania with an overwhelming market share. I would therefore like to reassure stakeholders in the airline industry that the government is eyeing to reaffirm better policies as well as improve infrastructure so as to produce healthy competition in the market," said Mr Nundu.
"Thank you CMSA and DSE for guiding us tirelessly and diligently to the very end. We look forward to continue working together to achieve the common objective of enhancing share holder value in the company; especially for the new share holders," Mr Shirima said.
He also congratulated the new shareholders of Precision Air saying "most important of all partners though are the new investors who, with effect from today's event have become share holders of the airline. I say congratulations and thank you for the confidence and pride you have given the airline."
DSE ceo Gabriel Kitua said Precision Air listing makes it the 17th company to be listed on DSE., whereas DSE becomes the second leading stock market in East Africa after Kenya.The listing of Precision Air added a total market value of Sh92.08 billion making the total equity market capitalization of DSE to move up to Sh11,573.18 billion.
A total of 7,056 (Seven thousand fifty six) investors took part in the IPO which commenced on 7th October and ended on 4th November 2011.Apart from raising capital to facilitate expansion, the airline aimed at extending ownership to the public primarily to Tanzanian nationals. "We are thankful to all those who participated as evidenced by the large turnout. We are pleased that the IPO attained both objectives (raising capital and extending ownership), said the Precision Air Group Managing Director and CEO Mr Alfonse Kioko.
 
Hivi hii ni sawa na Parking at your own risk kama vileunapark gari? Hivi hii Mamlaka ya CMSA inawalinda vipi wawekezaji wadogo wadogo, wastaafu na makundi mengine wanyonge kwenye midomo ya mamba kama hii?
Hawa si wanasema huwa wanafanya michanganuo ya kina na kishawanakuja kuhamasisha Watanzania wawekeze? Jamani mambo ya DECI mpaka hukukwenye Masoko ya Mitaji?
Hawa watu pamoja na mamlaka lazima watueleze kimetokea niniambacho kimeenda kinyume na Prospectus ambayo walitumia kunadi biashara yao maanahakukuwa na rabsha kubwa za kibiashara kwenye industry ya aviation kwa mwakauliopita.
Mchakato uliotumika kuingiza hii kampuni kwenye soko la hisa lazima uchunguzwe. Kipindi cha mwakammoja kupost loss ya shillingi bilioni thelathini aiseeee hiii ni biashara kichaaya kuuziwa mbusi kwenye gunia. Kwa namna hii kweli tutapiga hatua kukuza mitajiya ndani kama mambo yenyewe ndiyo haya?
 
Duuh bongo Daslaam..kila kitu kinawezekana..ndio maana MH. Muhongo anasema uwezo wetu ni kuwekeza kwenye matunda na juisi.
 
Hivi hii ni sawa na Parking at your own risk kama vileunapark gari? Hivi hii Mamlaka ya CMSA inawalinda vipi wawekezaji wadogo wadogo, wastaafu na makundi mengine wanyonge kwenye midomo ya mamba kama hii?
Hawa si wanasema huwa wanafanya michanganuo ya kina na kishawanakuja kuhamasisha Watanzania wawekeze? Jamani mambo ya DECI mpaka hukukwenye Masoko ya Mitaji?
Hawa watu pamoja na mamlaka lazima watueleze kimetokea niniambacho kimeenda kinyume na Prospectus ambayo walitumia kunadi biashara yao maanahakukuwa na rabsha kubwa za kibiashara kwenye industry ya aviation kwa mwakauliopita.
Mchakato uliotumika kuingiza hii kampuni kwenye soko la hisa lazima uchunguzwe. Kipindi cha mwakammoja kupost loss ya shillingi bilioni thelathini aiseeee hiii ni biashara kichaaya kuuziwa mbusi kwenye gunia. Kwa namna hii kweli tutapiga hatua kukuza mitajiya ndani kama mambo yenyewe ndiyo haya?

Mkuu hii nchi INSIDER DEALINGS zinapigwa mchana kweupe. Mbaya zaidi regulatory authorities ni kama wanakuwa part of it. Hebu fikiria ile scandal ya mdogo wa Mengi kuiuzia NICOL kiwanda cha dawa kinachokufa, hii ni scandal kama ya Madoff, lakini Tanzania imechukuliwa kama issue ya watu kuibiana Kariakoo. We have long way to go as a country.
 
Cha kushangaza,,,

  • Idadi ya abiria imeongezeka kwa asilimia 9.5
  • Total revenue nayo imeongezeka kwa asilimia 8.2
  • Mwaka 2011 kampuni hii ilitangaza faida

My Take:
Ukiangalia tangazo lao kuwa kampuni is PLEASED to announce full year results na ukweli kuwa hayo mambo matatu makuu hapo juu ni kiashiria cha faida kwa kampuni lakini wao wamepata loss, tena kubwa mno katika historia ya aviation industry na kwa kampuni ndogo kama yao. Napata shida sana kuwaamini hawa jamaa,,, hii inamaanisha kuwa either wao wenyewe wana tatizo la management,,,

Au ndio mpango mzima kwa kulazimisha bail out kwa pesa zetu walipa kodi. Dr Mgimwa mzee wangu, open your eyes. How come someone is pleased to announce loss,,,, they dont regret to announce loss. Sauda Rajabu ni janga la kitaifa.

View attachment 110621
1. 'pleased to announce..' hii ni lugha ya protokali tu kama vile unapoandika 'dear..' hata kama barua inaenda kwa adui yako.
2. sauda kaja juzi tu, matatizo haya yalianza zamani na hayana uhusiano kabisa na uwezo wa kiutendaji wa sauda, hata KQ inapitia magumu.
3. statements ziko audited hauamini nini?
 
Kikubwa ni kwamba Serikali isiingize mkono wake hapa, na isinunue share hata kidogo kama kufa acha wafe hawakujipanga washenzi hawa, Fast Jet kawagusa kidogo tu wamefika kileleni.
 
1. 'pleased to announce..' hii ni lugha ya protokali tu kama vile unapoandika 'dear..' hata kama barua inaenda kwa adui yako.
2. sauda kaja juzi tu, matatizo haya yalianza zamani na hayana uhusiano kabisa na uwezo wa kiutendaji wa sauda, hata KQ inapitia magumu.
3. statements ziko audited hauamini nini?

Mwaka umefika sasa toka Sauda aje na bado mnasema ''JUZI"

Kweli kabisa mkuu unaamini kuwa kampuni imeongeza mauzo na idadi ya abiria bado ikapata hasara kubwa zaidi katika historia ya kampuni hiyo, kiasi cha kutishia uhai. Na bado mwaka mmoja uliopita kampuni hiyo hiyo ilikuwa inafanya kazi kwa faida!? Sisi wengine ni kama Tommaso, huwa hatuamini vitu kirahisi. Katika layman language, Ni sawa na mwenye duka bidhaa na wateja wameongezeka, mauzo yameongezeka lakini bado anapata hasara wakati mwaka jana alipata faida kwa wateja wachache na kuuza bidhaa kidogo ukilinganisha na mwaka huu.
 
Hapo tunafungwa na goal la Tik Tak,,,bonge la dili linachezwa.
 
Cha kushangaza,,,

  • Idadi ya abiria imeongezeka kwa asilimia 9.5
  • Total revenue nayo imeongezeka kwa asilimia 8.2
  • Mwaka 2011 kampuni hii ilitangaza faida

My Take:
Ukiangalia tangazo lao kuwa kampuni is PLEASED to announce full year results na ukweli kuwa hayo mambo matatu makuu hapo juu ni kiashiria cha faida kwa kampuni lakini wao wamepata loss, tena kubwa mno katika historia ya aviation industry na kwa kampuni ndogo kama yao. Napata shida sana kuwaamini hawa jamaa,,, hii inamaanisha kuwa either wao wenyewe wana tatizo la management,,,

Au ndio mpango mzima kwa kulazimisha bail out kwa pesa zetu walipa kodi. Dr Mgimwa mzee wangu, open your eyes. How come someone is pleased to announce loss,,,, they dont regret to announce loss. Sauda Rajabu ni janga la kitaifa.

View attachment 110621

Eeleweke kwamba kwa tangazo hilo haina maana kodi haijalipwa. Kuna mambo kadhaa kwa wafanya biashara wanajua nini kinaweza kusababisha kampuni kupata hasara katika mahesabu ya mwaka kwa kupanga au kwa kutopanga kwa sababu zifuatazo:
  • Kukiwa na faida kubwa kampuni hufanya purchase kubwa ili kupunguza pesa nyingi ambazo serikali inachukua, hili ni jambo la kawaida kwa wafanyabiashara na makampuni makubwa wanajua. Halifanyiki kwa Tanzania tu hata nchi zilizoendelea. Nilishawahi kuwa na kajibiashara fulani nchini Marekani, maofisa wa revenue walinipa mbinu za kupunguza gharama za kodi. Vinginevyo revenue inapofanya marejesho ya mapato yako ya mwaka unapo-renue business yako ujue faida utaawana na serikali.
  • Kampuni kununua vitendea kazi vipya ikiwa ikiwa ni pamoja na office expences, mitambo mipya nk
  • Na mengineyo mengi yanaweza kusababisha kampuni kupata hasara.

Kwa waliowahi kufanya kazi kwenye makampuni makubwa katika idara ya uongozi, wataalamu wa mahesabu nk wanajua ninachoongelea hapa
 
A way toward tax forgiveness!

Haitasaidia mkuu.
Mbona yapo makampuni ya ndege yanapiga faida huko Ulaya, inamaana unataka kuniambia wao wanapata tax relief au hiyo tax forgiveness kama unavyoiita??
 
Back
Top Bottom