Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Cha kushangaza,,,
My Take:
Ukiangalia tangazo lao kuwa kampuni is PLEASED to announce full year results na ukweli kuwa hayo mambo matatu makuu hapo juu ni kiashiria cha faida kwa kampuni lakini wao wamepata loss, tena kubwa mno katika historia ya aviation industry na kwa kampuni ndogo kama yao. Napata shida sana kuwaamini hawa jamaa,,, hii inamaanisha kuwa either wao wenyewe wana tatizo la management,,,
Au ndio mpango mzima kwa kulazimisha bail out kwa pesa zetu walipa kodi. Dr Mgimwa mzee wangu, open your eyes. How come someone is pleased to announce loss,,,, they dont regret to announce loss. Sauda Rajabu ni janga la kitaifa.
- Idadi ya abiria imeongezeka kwa asilimia 9.5
- Total revenue nayo imeongezeka kwa asilimia 8.2
- Mwaka 2011 kampuni hii ilitangaza faida