kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,871
- 2,762
Ile kampuni ya kikenya iliyofikiri ingeweza kuiua kampuni ya ndege ya watanzania hatimae hisa zake zimegoma kuuzika. Hii ni kwasababu watanzania makini wameshtukia madeni makubwa waliyokuwanayo na kulidanganya taifa kwamba wanatengeneza faida.
Sasa kampuni ya kitanzania inanyanyuka japokuwa walipitisha hongo nyingi sana kwa baadhi ya wakuu wa magamba kama bomani ili waseme kampuni ya watanzania ifungwe.
Tatito la kampuni ilikuwa ni utawala wa wezi wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa wizara kama chambo. Sasa kampuni inanyanyuka ila kwa upenda wa watanzania hatuna haja ya kuwaangamiza wenzetu ila tutawasaidia ili ajira ziongezeke tanzania. Wakiendelea kuwaajiri wakenya itabidi tulioe soko lao kabisa na kuiondoa kampuni hiyo ya kikenya kwenya anga la tanzania.