Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anayejua, anisaidie (One-Way) fares za precission air toka miji ya;
Dar - Zbar
Zbar - Arusha
Arusha - Dar
...Wanayo website lakini haijakamilika,
Natanguliza shukrani.
Arusha - Dar ni TZS 180,000 (return zidisha mara 2)
hapa ni practical exiperience zaidi!Jomba maelezo yako si kweli...!Nijuavyo mimi ni kwamba nauli zinatofautiana kutokana na unavyofanya booking mapema au kwa kuchelewa, au last minute booking!....Ukifanya booking, say 3 days prior to travelling Dar-Arusha utalipa something like ths 206,000/=,..na jinsi unavyosogeza booking kuja kwenye d-day, nauli inapanda, lakini all in all haizidi 215,000/=.....return ticket ni 348,000/=....Ahsante!
Jomba maelezo yako si kweli...!Nijuavyo mimi ni kwamba nauli zinatofautiana kutokana na unavyofanya booking mapema au kwa kuchelewa, au last minute booking!....Ukifanya booking, say 3 days prior to travelling Dar-Arusha utalipa something like ths 206,000/=,..na jinsi unavyosogeza booking kuja kwenye d-day, nauli inapanda, lakini all in all haizidi 215,000/=.....return ticket ni 348,000/=....Ahsante!
Kwa uzoefu huwa hakuna tofauti ya nauli kati ya:
Shukuran sana wakuu.
Labda niwasubirie na wale waliofanya routes za
Dar - Zanzibar,
Zanzibar - Arusha
kwa hiyo Precission Air. I wish kwenye website yao wangetuwekea info zote hizi.
Online booking inasaidia sana kuliko kuhangaika mpaka maofisini, waliopo nje ya nchi inakuwa ni usumbufu.
Kwa uzoefu huwa hakuna tofauti ya nauli kati ya:
Dar-Arusha na
Zanzibar-Arusha!
Jomba maelezo yako si kweli...!Nijuavyo mimi ni kwamba nauli zinatofautiana kutokana na unavyofanya booking mapema au kwa kuchelewa, au last minute booking!....Ukifanya booking, say 3 days prior to travelling Dar-Arusha utalipa something like ths 206,000/=,..na jinsi unavyosogeza booking kuja kwenye d-day, nauli inapanda, lakini all in all haizidi 215,000/=.....return ticket ni 348,000/=....Ahsante!
Thx again PJ,
nilikuwa nadodosa kwenye huu mtandao hapa chini,
Alternative Airlines - Online Booking and Cheap Flights | alternativeairlines.com
fares za precission Air ;
Dar - Arusha USD $ 179.77
Zbar - Arusha USD $ 157.31
zote ni one way hizo,...
Dah gharama za ndege Bongo bado zipo juu sana watu wa hali ya chini tutaendelea kuzisikia kwenye bomba.
Nakupa majibu juu ya hawa jamaa in no tym, bahati nzuri nina full contact za Air-Ticketers wao!... acha tu. wanadai ni gharama za uendeshaji. Mimi nadhani inasababishwa na upungufu tu wa ushindani.
Kuna shirika jipya fly540, inaelekea wao wanatoza nauli nafuu kidogo. Otherwise itabidi wengi waendelee na
Nakupa majibu juu ya hawa jamaa in no tym, bahati nzuri nina full contact za Air-Ticketers wao!
usafiri wa ndege za ardhini, kina Scandinavia Express, Buffalo Coaches etc...
Kwa wenye haraka, 'kujikuna' muhimu.
Binafsi ninahitaji hizi infos sababu nina shughuli muhimu sana kwenye routes hizo, ndio maana inabidi kupanga bajeti nzuri kulingana na wakati mdogo niliokuwa nao.
... acha tu. wanadai ni gharama za uendeshaji. Mimi nadhani inasababishwa na upungufu tu wa ushindani.
Kuna shirika jipya fly540, inaelekea wao wanatoza nauli nafuu kidogo. Otherwise itabidi wengi waendelee na
usafiri wa ndege za ardhini, kina Scandinavia Express, Buffalo Coaches etc...
Kwa wenye haraka, 'kujikuna' muhimu.
Binafsi ninahitaji hizi infos sababu nina shughuli muhimu sana kwenye routes hizo, ndio maana inabidi kupanga bajeti nzuri kulingana na wakati mdogo niliokuwa nao.
Yaani mkuu hizo gharama unaona bora uruke Dubai na kurudi inakuwa cheap kulinganisha na umbali lakini unaruka hapa unakaa saa 1 angani bei hiyooo maumivu matupu bora kuchana boda kwa usafiri wa ardhi ukachukua Dar Express au huko Zenji ukapanda Boat za Azam nazo zipo fasta
Znz- Arusha (Fly540), ni $ 147, AU tSHS 220,000/=
Return ticket ni thsh 440,000/=
Proven info!
Jipange sawasawa Mkuu!
Ninavyowafahamu mimi wana On-Line-Booking. Ukishawaambia unataka flight ipi, ya kwenda wapi na lini wanakujibu haraka tu. Wanakupa booking ya muda, bei, namna ya kulipa na deadline ya kulipa. Kama hujalipa by the deadline waliyokupa wanauza nafasi yako. Hawawezi kuweka nauli kwenye website kwa kuwa zinatofautiana kwa kutegemea flight na siku, jinsi ulivyo book na mambo mengine. Ndivyo usafiri wa ndege ulivyo duniani kote.Kwa anayejua, anisaidie (One-Way) fares za precission air toka miji ya;
Dar - Zbar
Zbar - Arusha
Arusha - Dar
...Wanayo website lakini haijakamilika,
Natanguliza shukrani.
Ninavyowafahamu mimi wana On-Line-Booking. Ukishawaambia unataka flight ipi, ya kwenda wapi na lini wanakujibu haraka tu. Wanakupa booking ya muda, bei, namna ya kulipa na deadline ya kulipa. Kama hujalipa by the deadline waliyokupa wanauza nafasi yako. Hawawezi kuweka nauli kwenye website kwa kuwa zinatofautiana kwa kutegemea flight na siku, jinsi ulivyo book na mambo mengine. Ndivyo usafiri wa ndege ulivyo duniani kote.
Ninavyowafahamu mimi wana On-Line-Booking. Ukishawaambia unataka flight ipi, ya kwenda wapi na lini wanakujibu haraka tu. Wanakupa booking ya muda, bei, namna ya kulipa na deadline ya kulipa. Kama hujalipa by the deadline waliyokupa wanauza nafasi yako.
Hawawezi kuweka nauli kwenye website kwa kuwa zinatofautiana kwa kutegemea flight na siku, jinsi ulivyo book na mambo mengine. Ndivyo usafiri wa ndege ulivyo duniani kote.