Ni habari za kusikitisha ila nafikiri ni katika kuwekana sawa kwamba airline industry si ya kujaribu....kampuni ya precission leo hii imethibitika kufuta flt zake za mwanza na kilimanjaro.....
polen sana ,...na kibaya zaidi wanakataa kuwapakiza kwenye ndege mbadala wakidai ndege yao inaondoka jion then jion wanaairisha mbona msitangaze janga l TAIFA watu wawaelewe kama ndugu zenu ATCL walivyoamua kujipanga ......si lazima kuruka kila siku kama hali ngumu kaeni chini mjipange upya
nawatakia kila la kheri ila tupunguze cancellation