Prediction: Afisa Aliyatuma Vijana kufanya Uovu Hatoguswa

Nchi hii kwa sasa watu wasio na maadili ndio wameshikilia madaraka. RC aliyelawiti mwanafunzi anatafutiwa ñjia ya kutokea
 
Ndiyo.maana unaona vyombo vyote vinatumia nguvu kubwa kuzuia video zisisambae ili walizime hili jambo kimya kimya...huyo afisa atasema aliwatuma hao maaskari kufumania tu siyo kusex na huyo binti.
 
Hana kesi yoyote hayupo kwenye video waliofanya ni wao na akili zao timamu mtu mzima atumwaje?
 
Wale vijana watakamatwa,
kutakuwepo na ubabaishaji mwingi, siku, miezi miaka itapita.
Mpaka watu wasahau.
HAKUNA KITAKACHOTOKEA KWA WABAKAJI.
Wabakaji watatolea kafara maana ni watoto wa masikini wale ila aliyewapa tenda hataguswa! Vijana wameharibu future zao kwa kutotumia akili na kuendeshwa na bangi.
 
Kama huyo Sponsor ni Capt kweli huyo ni mdogo tu kijeshi. Ushahidi wakutoa maelekezo kwa huyo in charge wa tukio utamshuhudia.
Akishughulikiwa kwa Juzuu ya Pili atapigwa
C63
C64 kwa kutoa amri isiyo halali kama yule Pte akisema alipewa amri.
C59
C10
C29
C30
Hapo ni kwa upande wa juzuu
Akipelekwa za huko Uraiani Ni sheshe
Mganga ndo kimbilio lake hapo😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…