[emoji23]Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau
Wanaweza kuongezwa ile dozi yao maarufu 3 bilaHaya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau
Hahahha kwanini mkuu unakuwa roho mbaya kiasi hichoYanga sio timu ya kuiombea mema hata kidogo, tutaombea mema azam, biashara, kmkm ila kwa yanga hapana kwa kweli, wapigwe tu ..
kwa mlicho tufanyia last season kwa kuwasapoti wapinzani wetu, hapana kwa kweli mpigwe tu ..Hahahha kwanini mkuu unakuwa roho mbaya kiasi hicho
Yanga ata usipo iombea mema maombi yako hayawezi kuamua Mchezo wa Yanga.Yanga sio timu ya kuiombea mema hata kidogo, tutaombea mema azam, biashara, kmkm ila kwa yanga hapana kwa kweli, wapigwe tu ..
Na hilo moja ni rivers united watajifunga wenyeweYoung africans 1 - 3 Rivers United
Daima mbele nyuma mwiko
Yapindue hayo matokeo alafu jifutike nini .... nyuma sema mm ni mjingaHaya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau
Kasema utabiri sio ndotoYanga 4 : 0 Rivers United
MEMKWA inapaswa iendeleeHaya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau
Kama ambavyo maombi yenu yalishindwa kuamua michezo ya Simba last season ya total CAF ..Yanga ata usipo iombea mema maombi yako hayawezi kuamua Mchezo wa Yanga.