Pregnant woman looking for a daddy/husband

Status
Not open for further replies.
Kama muhusika wa hiyo mimba kisha fariki nipo tayari tuyajenge.
 
Watu wanamuelewa anko magu itakuwa huyu mndele.. Anayefanya bila kinga wewe utakuwa hujui English kabisa mkapa alikuwa right kuwaita Watanzania Wapumbavu na Waburundi ni wehu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2 weeks pregnant?? U cant be serious! How did u know that??
 
Dear all,

I'm overwhelmed by th comments and advice, Mungu awabariki sana(my sins do not change who is). Natamani ningejibu comment moja baada ya nyingine lakini sitaweza, naomba nifanye kuzijibu zote/baadhi hapa kama hamtojali.

About the responsible man:
Ana taarifa za mimi kuwa na ujauzito wake ila kwa bahati mbaya/nzuri sijasikia kitu chochote kutoka kwake, it has been quiet for 3 days that's why am exploring before it's too late. Kuna vitu vingi vinaendelea behind the scene ambavyo siwezi kuandika hapa otherwise itakuwa kama nmeleta story. But kwa yeyote ambaye anaconsider, i will give every detail of my life(i live by being open and truthful) na kama utataka kujua/kumjua responsible person sio tatizo kwangu.
 
I can't stay away from my child when he is born, so am sorry but whoever takes him has to be willing and ready to take me too
 
Unataka kumpatia mtoto baba sababu baba yake haonyeshi kujali, what if ungekua umeolewa na mumeo akafariki ukiwa mjamzito bado ungetafuta bana mwingine akusaidie kulea mtoto. Kila mama anapenda mwanae akue akiwaona wazazi wake wote wawili ila maisha yana jinsi zake nyingi sana so usiforce mwanao nae awe na mtu wa kumuita kisa tu baba ake hayuko around. Nakushauri ulee ujauziti wako sababu sio kwamba bila baba yake mtoto hatakua huko tumboni unless unataka huyo baba awe anakusaidia. Ni heri upate mwanaume atakaeupenda wew kwa dhati sababu atampenda na mwanao ila mwanaume tu from no where utegemee aje ampende mwanao kama baba yake mzazi sahau. Lea ujauzito wako dada wewe sio wa kwanza kuachwa na ujauzito. Mimi nilipewa mpaka hela nikatoe ila nikakomaa na ujauzito wangu na kipindi hicho sina hata kazi nimepanga lakini nilikomaa mpaka sasa hivi nina mwanangu na am happy bila mkono wa mwanaume yeyote mwanangu anakua japo inauma baba ake hayuko around. Nakusisitiza huna haja ya kutafuta mtu akusaidie kulea mwanao labda ukishajifungua huyo mtoto umkabidhi huyo mwanaume for good lakin uwe mama na yeye awe baba itakua hadithi tu.
 
Unauza mbuzi kwenye gunia.
Weka current pics yako, mtu anasoma anaangalia na picha kuthamanisha. Kuna watu wengi wanauhitaji wa kweli kwa sifa na vigezo ulivyoviweka'apo.
Kwetu mwanamke mzazi ni kila kitu. Uwe mkweli, ili isije baadae aliyekusababisha ujauzito akakuletea fujo za kisheria. Hakikisha umejihami kotekote, ni wachache sana wanaoweza kufunguka kama wewe. Kila la kheri.
 
I may help u to raise your child but won't marry u nor have any love affair with u.
DON'T abort.
Mwenzio anataka mume baba mlishi wa mwanae mtarajiwa. Sasa kusema asitoe mimba, utatuza mwana bila ya kumuoa, haujakidhi vigezo anavyotaka yeye.
 
Nalotaka kukusapoti ni kuwa, katoa ombi lake kistaarabu sana, lkn hajaeleza kinagaubaga kuwa ni nani aliyemjaza, na kwanini mtu huyo hataki kiwajibikia ujauzito huo.
Yawezekana labda kaupata katika mazingira ya udadapoa,kupelekea kutomfahamu mhusika!
Adadavue background yake, tena asifiche chochote ili kama mtu ameamua kulipenda boga, asijekukwazwa siku za usoni maana wenye mahitaji ya namna hiyo anavotaka yeye wapo.
 
ila wanaume wana complication sana mimi ningekuwa mwanaume ningemchukua yaani
Siyo complication wala nini. Mtu kabla hajaubeba mzigo, lazima uangalie nyanja zote, ili hapo baadae usije geuzwa bwege hadi ukajidharau.
Dunia hii ya sasa imebeba wasanii wa kila aina. Sasa hivi huruma na upendo ni kigezo cha udhaifu.
 


Kila la kheri
 
plz watever you do do not go for abortion...better to be a single mother than abort....u never know your KESHO
 
Wanaume wanavopenda vitobo kama panya utapata mama kijacho jiandae
 
Reactions: JMF
Sorry for that you are facing,and congratulation for your brave.met pm or direct call 0627437416.Be comfortable
 
Mpaka Unajua Kingereza inakuwaje Huwezi Kumlea Huyo Mtoto.. Unajua Laana Zingine Mnajitakia Bila Sababu

Halafu Huku ni Kupanic unatafuta Jamaa Analea at the End of the Day Unajifungua Mwenye Mtoto anakuja Kugonga Hodi unafungua Halafu Unamwambia Aliyelea Kuwa Ulitafuta pakujishika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…