Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,540 Jul 13, 2008 #41 Navua kanzu kwa muda na kumsaidia mwenzetu Mhafidhina na nduguye, kwa kutokuwahoji mahusiano yao kama yako kwenye ndoa au la. Lakini kwa nini Nduguyo asiende hospitali akakutana na wataalamu wamfahamishe kiutaalamu? Tembelea www.webmd.com unawezapata majibu mengi na si ajizi za karanga mbichi, ndimu na konyagi. Kama hajaoa, mwambie avumilie mpaka aoe!
Navua kanzu kwa muda na kumsaidia mwenzetu Mhafidhina na nduguye, kwa kutokuwahoji mahusiano yao kama yako kwenye ndoa au la. Lakini kwa nini Nduguyo asiende hospitali akakutana na wataalamu wamfahamishe kiutaalamu? Tembelea www.webmd.com unawezapata majibu mengi na si ajizi za karanga mbichi, ndimu na konyagi. Kama hajaoa, mwambie avumilie mpaka aoe!