Premier bet wameshikiria pesa zangu

Omkama

Senior Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
131
Reaction score
44
Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado haijafika japokuwa kule premier bet zinaonesha zishatoka maana salio limepungua. Lakin vodacom wanasema hawazion pesa hizo niwasiliane na premier bet. Wamenipa namba lakin zote hazipatikani. jamani naomba msaada wenu nipate pesa zangu. Nisaiidie namba za wakala yyte wa premier bet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…