Premier Betting Tanzania acheni Utapeli na Usumbufu

mkuu, bora umeliona hili...hawa wahindi wa premier betting ni maQUMER! meridian ndio mpango mzima.
 
Kawe chamtoto. kuna malaya mmoja. kimaramwisho. ukishinda 83000.-82000=yaani anatoa. zenye 70-80-50 alt..hizo 3000-2000 anadai zinachangia ofisiyao mpuuzikwelii

Kimara mwisho kwa upande gan mkuu maana na n wangese kwelii wa hapa kimara kote
 
Kotekote kulianakushoto mbwakabsa nilimtukana akanitishia nkamwambiaunahis nakaa e mikocheni itaunaemwamini
 
Waelekedhe tuu maana wanataka....ata ivyo acha waliwe ili wengine tulipwe wasipoliwa hela za kutulipa sisi washindi zitatoka wapi?

Haahaaaaaaa amidodooooo naipendaa Yanga mshabiki wamfungie
Jamanikasejakaseja kibokoyao katutiamimba eti. anaondoka mpwakunafamilia inanilaan kumuingizamtotowao huko. achatu nasiku. akila single sipewi
 
mkuu, bora umeliona hili...hawa wahindi wa premier betting ni maQUMER! meridian ndio mpango mzima.
Mkuu umenichekesha kweli..nimetamka hilo neno maQUMER! basi moyo umepasuka..hahhaaaaa naona unakwepa bann
 
mkuu, bora umeliona hili...hawa wahindi wa premier betting ni maQUMER! meridian ndio mpango mzima.

Cha msingi ni Meridian kujieneza tu,hawana usumbufu wa kijinga kama Premier,na wafanyakazi wake wanajua jinsi ya ku handle wateja,sio kama yule kaka mpuuzi wa Kawe
 
hii kampuni ya magabacholi kusema kweli ni kero kupindukia.
 
MWENYE NAMBA ZA PREMIER BETTING MAKAO MAKUU ANISAIDI TAFADHALI, NIMEDEPOSIT KWENYE ACCOUNT YANGU KWA M-PESA TANGU JANA MPAKA SASA KIMYA.
 
Nielekezeni kufungua account mana pamoja na kufuata process zote zinazotakiwa lakini mwisho naambiwa Registration failed.
 
MWENYE NAMBA ZA PREMIER BETTING MAKAO MAKUU ANISAIDI TAFADHALI, NIMEDEPOSIT KWENYE ACCOUNT YANGU KWA M-PESA TANGU JANA MPAKA SASA KIMYA.
0764700700, nielekeze jinsi ya kufungua account mkuu mana nimejalibu bila mafanikio pamoja na kufuata process zote.
 
Premier Betting ndio Bookie pekee ambae ukidraw hela Weekend hupati mpaka Jumatatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…