Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Habari wakuu!
Nataka kuomba machine ya kubetisha katika company ya premiere betting.
Sasa swali langu ni hivi, Zile flat screen tv, wanakupa wenyewe au zinakuwa za kwangu?