Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Dec 6, 2018 #1 Habari wakuu! Nataka kuomba machine ya kubetisha katika company ya premiere betting. Sasa swali langu ni hivi, Zile flat screen tv, wanakupa wenyewe au zinakuwa za kwangu?
Habari wakuu! Nataka kuomba machine ya kubetisha katika company ya premiere betting. Sasa swali langu ni hivi, Zile flat screen tv, wanakupa wenyewe au zinakuwa za kwangu?
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,837 Dec 6, 2018 #2 zako blaza... jipange
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Dec 6, 2018 Thread starter #3 Eheeeh, ni Nouma mkuu hashycool
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,837 Dec 6, 2018 #4 Lukas4 said: Eheeeh, ni Nouma mkuu hashycool Click to expand... lakini ni biashara nzuri... commission yao ni bab kubwa
Lukas4 said: Eheeeh, ni Nouma mkuu hashycool Click to expand... lakini ni biashara nzuri... commission yao ni bab kubwa
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Dec 6, 2018 Thread starter #5 Thanks mkuu, ngoja nijipange aise