Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Nikiwa mshabiki wa Gunners mwaka huu naona excitement ya ligi iko mkiani kuliko ilivyo juu, you can understand why I guess! So far kuna timu kama 8 ambazo zinaweza kushuka daraja, na kwenye current bottom 3 ni vigumu kuamini kwamba Newcastle na Boro watashuka- na hapa ndipo utamu unapokuja, kama sio wao ni nani atashuka instead? Hawa WBA naamini habari yao imeisha japokuwa bado hawajushuka mathematically. My prediction- WBA, Newcastle and Hull.
Nirudi top of the table- Nani atatwaa ubingwa? I strongly believe its now between Man U and Livepool. I hate to say this lakini naamini Man U will retain the title, Liverpool will chase them till the end kama walivyofanya Chelsea last season lakini wataambulia patupu, ukweli ni kwamba Man U wamekuwa wakiandamwa na bahati, wanashinda games hata wakicheza vibaya-and you need this to become a champion.
Who will join Wolves in promotion to the PL? Utabiri wangu ni Birmingham watachukua automatic promotion iliyobaki na Reading watarudi through play offs wakishinda final yao kati yao na Sheffield United.
Je we unaonaje? Nakutakieni Usheikh Yahya mwema.