Premier League 2024/25: Msimamo ulivyo hadi sasa!

Wacha mpira uongee.

View attachment 3222807
Liverpool wapo pazuri kuchukua huu mwaka, unless waanze utoto.

BTW #COYG
chelsea isingekuwa timu ya watoto wa Umitashumta, leo usiku wangepanda mpaka nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi.

Ila ndiyo hivyo tena. Timu imejaa vitoto vingi na ambavyo havina determination! Kocha wao mwenyewe naye ni walewale tu akina Sead Ramovich! ☹️
 
Vinashinda saloon kukarikiti nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…