Premier league inasemekana imeshapitisha dau la £300 million na kufanya Newcastle kuwa klabu tajiri dunian

Premier league inasemekana imeshapitisha dau la £300 million na kufanya Newcastle kuwa klabu tajiri dunian

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Jarida la the sun .limeripot kwamba premier league imetoa nafas kwa bilionea wa Saudi Aribia kuingia ndani ya viunga vya St James’ Park. Ambapo kuingia kwa bilionea huyo itapeleka kufanya club hiyo ya Newcastle kuwa ni mingon mwa klabu tajiri dunia.

Mfuko wa Uwekezaji wa Umma wa Saudi Arabia, ambao unaongozwa na Crown Prince Mohammed bin Salman, utachukua asilimia 80 ya Newcastle.

Pia kuna Mfanyabiashara kama Amanda Staveley atasimama mbele ya muungano huo, pia bilionea wa Uingereza ndugu wa Reuben, ambao watakuwa na asilimia 10 ya hisa.

Kias cha fedha kilicho baki kitahusishwa kufanya maandaliz ya michezo ijayo pamoja na ada ya kufanya mananuzi ya viungo wapya watakao ichezea club hiyo katika utawala mpya wa kisaudia.

Hata ivo kumekuwa na ucheleweshwaji wa umiliki huu kwa kile kinacho aminika kuwa saudi arabia kuna ukandamizwaji sana wa haki za kibinadamu hivo jambo hili linawaumiza sana kichwa waingereza juu ya kuizuia timu hii kwa hawa mabilionea wa mafuta dunia.

Licha hivo boss wa klabu hiyo Steve Bruce bado anaitaji kuwa sehemu ya maisha katika club ya newcastle.
 
Ngoja mwarabu amwage pesa.. ila isijekuwa kama QPR
 
Financial fair play itambana muarabu ..unachokiingiza ndio unatumia
 
Huku yanga inajifanya oooh timu ya wananchi. Huwezi kuendesha klabu cha soka kikafanya cha maana duniani km hakuna uwekezaji mkubwa wa kampuni au mtu fulani. Hongereni mnyama kwa hatua najua bado uwekezaji haujakaa vzuri lakini ni hatua ya kuona mbele
 
Back
Top Bottom