Premier League: Jino moja,mswaki wa nini?

Premier League: Jino moja,mswaki wa nini?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea kupoteza uwakilishi katika UCL kama Man City watafurushwa na Barcelona usiku huu. Tayari Liverpool,Chelsea na Arsenal zimeshaaga mashindano hayo. Man City itakuwa ugenini machinjioni Camp Nou,Barcelona.

Tayari La Liga, League One na Bundesliga zimeshapeleka timu robo fainali. Inasubiriwa Ligi Kuu ya Uingereza aka Ligi ya Rugby. Jino moja,mswaki wa nini?
 
Back
Top Bottom