Naona Manchester City ana hali ngumu sana weekend hii.
Arsenal ana mteremko na lazima anashinda ili kurudisha confidence
Man Utd ataendeleza consistency? Siyo rahisi sana ugenini kwa stoke city. Hata hivyo mechi itakua ngumu mno
Chelsea anaangukia pua pale kwa Leicester. Ipo dhahiri kabisa hiyo.
Sent using
Jamii Forums mobile app