PremierBetting wananizungusha malipo yangu

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Nilibett majuzi siku taifa stars aliposhindwa bao saba nikabahatika kupata shsh 240.000/=.

Mapaka leo ninazungushwa tu na wakala kunilipa, niko Dodoma NIFANYEJE?
 
Nilibett majuzi siku taifa stars aliposhindwa bao saba nikabahatika kupata shsh 240.000/=. Mapaka leo ninazungushwa tu na wakala kunilipa, niko Dodoma NIFANYEJE?

ulibet na kampuni gan
 
Hakuna mahali pa kushitaki maana kumbe hawa ni matapeli
 
premier league betting ina wakala kila wilaya

hao jamaa ndio zao mi mwanzo nilikua nawaamini lakini sasa bas we toa kidogo ki2 hapo ukishapata hela yako nakushauri utumie mbet online
 
hao jamaa ndio zao mi mwanzo nilikua nawaamini lakini sasa bas we toa kidogo ki2 hapo ukishapata hela yako nakushauri utumie mbet online

Watanilipa lakini?
 
Wadau wa kubet eti nimepewa 215.000 tu wamesema zilizobaki nikashitaki kokote, wakala kanipa hela kwa ujeuli kweli.

Napenda kuwakilisha.
 
Nashangaa mtu anayeendelea kubeti ka hawa jamaa. Achaneni nao.
 
hao majamaa wapo kitapeli zaidi hapo Dodoma mjini ni magumashi kwenda mbele..

ila komaa na mikwara ya kutosha watakupatia haki yako.
 
Dodoma kwani hakuna ofisi zao!!??

Ukifuata utaratibu wa kupanga foleni kwa hapa DSM unapata mzigo wako kama ulivyo. Ila ukihitaji mkato unatoa chochote. hapo ndipo umuhimu wa kucheza meridian unaonekana....
 
Mkuu hayo ni matapeli tu mbona mimi mbet hata hawazinguagi yaani unapiga mkwanja pesa inasoma kwenye m bet wallet au m pesa inadepend umelipa kwa m bet wallet or mpesa.
 
We bora ulivyozurumiwa......yaan ume I kill nch yako mkuu?? mm nilimpa tz japo nilijua tutafungwa.....sio mzalendo ww
 
ebaeban nakushauri uende kupeleka lalamiko lako kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha watakusaidia.
Kama hawana ofisi Dodoma basi ingia online ufanye mawasiliano nao!

Ushauri mwingine waweza kwenda kwa mahakamani kudai haki yako plus FIDIA za usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…