Premio 2OO6

Premio 2OO6

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Wandugu zangu,

Katika ujenzi wa taifa, nataka kuagiza hii gari, naombeni kujua ubora wake na matatizo yake niandae kiasi gani mpka kuwanayo barabarani.
 
Ngoja waje ila kuna uzi unaendelea tatufa uzi wa

ni gari gani ndogo for long safari.

Wanajadili gari mbalimbali utafute uusome please.. Premio hatujaicha.
 
Back
Top Bottom