Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,212 Aug 3, 2016 #1 Wandugu zangu, Katika ujenzi wa taifa, nataka kuagiza hii gari, naombeni kujua ubora wake na matatizo yake niandae kiasi gani mpka kuwanayo barabarani.
Wandugu zangu, Katika ujenzi wa taifa, nataka kuagiza hii gari, naombeni kujua ubora wake na matatizo yake niandae kiasi gani mpka kuwanayo barabarani.
Ukaridayo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 515 Reaction score 476 Aug 4, 2016 #2 Ngoja waje ila kuna uzi unaendelea tatufa uzi wa ni gari gani ndogo for long safari. Wanajadili gari mbalimbali utafute uusome please.. Premio hatujaicha.
Ngoja waje ila kuna uzi unaendelea tatufa uzi wa ni gari gani ndogo for long safari. Wanajadili gari mbalimbali utafute uusome please.. Premio hatujaicha.