Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 884
- 376
Hii si sawa.....ni mawazo potofu na sio jibu la kumjibu mtu kwenye post yake.
Kwa sasa Premior ni mbadala wa allion hata kwenye bei sokoni premior iko juu kidogo kwasababu.chukua allion mkuu kwanza ina body kubwa ,pili spare c ghali sana ,tatu kwenye mafuta ndo usiseme mkuu ata vitz aitiii mguu inakula mafuta kidogo sana ,nne inakimbia sana mkuu utafikr injin yake ya v8 kumbe ya kawaida kama pesa ipo isiache hyo machine
allion lita moja inakimbza mpaka km 24 mkuu pili allion ina cc 1500 kwa maana hyo premio iko juu tuKwa sasa Premior ni mbadala wa allion hata kwenye bei sokoni premior iko juu kidogo kwasababu.
allion kwanza iko chini
pili Premior iko stable zaidi barabarani na inakimbia mno
Mafuta sijajua Allion ina cc ngapi ila premior ni 1790cc so
premior 500km unatumia mafuta ltr 36 hadi 40
Binafsi napenda premior ba kama unahela nunua premior.
Pia watumie befoward wanamagari mengi sana halafu bei nafuu na uhakika wa kupata gari ni mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Mna mambo ya ajabu?? Na kama anayo hiyo nyumba afanyaje??akutangazie??punguza ushamba nawe,kama vipi pamda juu ya nyumba ikupeleke unapotaka
We si mwanamke, acha amshauri mwanaume mwenzake cha muhimu.Watu Mna mambo ya ajabu?? Na kama anayo hiyo nyumba afanyaje??akutangazie??punguza ushamba nawe,kama vipi pamda juu ya nyumba ikupeleke unapotaka
Mwanamke anapika mawe yakaiva???We si mwanamke, acha amshauri mwanaume mwenzake cha muhimu.
Iyo avata uliyoichagua pia ni ulimbo.Mwanamke anapika mawe yakaiva???
Mpaka hapo huna jipya.Iyo avata uliyoichagua pia ni ulimbo.
allion lita moja inakimbza mpaka km 24 mkuu pili allion ina cc 1500 kwa maana hyo premio iko juu tu