Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
Nataka hii ila tafadhali ningependa kujua sababu ya kuiuza
😂😂Tafadhali na wewe unaweza kutusaidia sababu za kuitaka kuinunua?
Tafadhali na wewe unaweza kutusaidia sababu za kuitaka kuinunua?
Endelea tu kutafuta. Ipo siku utapata.Sijui lini namimi nitapata Mapesa
Ngja nichangamke kuingia kwenye siasa nikawaibie wakuluEndelea tu kutafuta. Ipo siku utapata.