Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
allion ninzuri zaid kwasababu inaenda na wakati wa kidigitalHabari zenu wakuu...hizi gari mbili nazipenda sana na bei zake kidogo zinaendana,,naombeni watalaam mniambie nichukue ipi kati ya allion au premio?
hahahaPremio gari ya wanyambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Premio gari ya wanyambo