ARVs ni kwa mtu ambaye tayari ana HIV , zinadhibiti virusi mwilini.PrEP ni kwa mtu ambaye hana HIV ni kinga tu.Jambo jema pia kuwapunguzia mzigo wa kula dawa wagonjwa
Unahusika as long as huna maambukizi!Jambo jema pia kuwapunguzia mzigo wa kula dawa wagonjwa
Hizi ukimeza unaweza ona mazingaombwe usiku. Niliwahi meza nikahangaika sana usiku. Nilitafuta maziwa nipunguze makali lakini wapi. Afu Zina direct infection na Figo. Sasa sielewi hizo sindano itakuwaje.vidonge vya prEp vina side effect za hovyo na mbaya mno vipi kuhusu hizo sindano tena,, I wonder
Watengeneze kidonge siyo sindano.Kenya imeanzisha rasmi sindano mpya ya PrEP inayokulinda dhidi ya HIV kwa miezi sita mfululizo.
Dawa hii, inayojulikana kama Lenacapavir, inachomwa mara mbili tu kwa mwaka – no more kumeza vidonge kila siku.
Tofauti na PrEP ya vidonge kama Truvada, hii ni rahisi, discreet na inafaa kwa watu wenye busy lifestyle.
Afya ni jukumu letu sote.
Je, uko ready kwa PrEP ya miezi 6?
nahisi zitakua mara mbili yakeHizi ukimeza unaweza ona mazingaombwe usiku. Niliwahi meza nikahangaika sana usiku. Nilitafuta maziwa nipunguze makali lakini wapi. Afu Zina direct infection na Figo. Sasa sielewi hizo sindano itakuwaje.
Side effects zipi?vidonge vya prEp vina side effect za hovyo na mbaya mno vipi kuhusu hizo sindano tena,, I wonder