Pres. Kenyatta steals another 10bn from NYS

Wapinzani wa Tz, wanapenda umaarufu na Madaraka ni shida tu..
Vizuri mu mueleze Zitto Kabwe ajiri angalau Mhisabu mmoja kwa chama chake, anajiabisha sana kupambana na maprofessa walioko CAG, Na kama kwakweli ana hoja, aende kwa kamati ya PAC bunge aulize hayo maswali si kutafuta kiki kwa vyombo vya habari huku akishikana na Kahaba Mange Kimambi
 
Uhuru wants Kenyans kept impoverished so that he can keep them as his slaves and squarters.
 
I hate that Lady, yani hapo ulivyomtaja ndio nimezidi kumchukia kabisaa..[emoji36] sema JPM hacheki na MTU..Anapiga kazi Usiku na Mchana..
 
Uhuru wants Kenyans kept impoverished so that he can keep them as his slaves and squarters.
Wacheni unafiki nendeni mkaulize kwenye ccm ilipeleka 1.5trn ,shughulikeni na ya kwenu makuu ***** nyinyi.
 
Wacheni unafiki nendeni mkaulize kwenye ccm ilipeleka 1.5trn ,shughulikeni na ya kwenu makuu ***** nyinyi.
Hili povu ni hatarii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wacheni unafiki nendeni mkaulize kwenye ccm ilipeleka 1.5trn ,shughulikeni na ya kwenu makuu ***** nyinyi.
Duuuu!!! namshukuru mamaangu na babaangu walinilea vzr na kwa maadili.Kutukana tusi kama hilo kwa mtu nisie mjua wala hata sijawah kumuona tena kwa vitu vya ajabu eti pesa wanakula wengne.Mungu akusamehe akupe maarifa kidogo angalau ujitambue.
 
Taarifa ya kupotea kwa 1.5 trn uliambiwa na mwanasiasa ama mhasibu? ona ujinga wako wa kufuata maneno tupu ya wanasiasa πŸ˜€
Kwahivyo tufate maneno yako? 'Maneno tupu' kwamba rais Uhuru Kenyatta mwenyewe ndio ameiba hizo hela. Wewe sio mwanasiasa, basi itakuwa wewe ndio hausigeli wa rais na First Lady. Haya tuambie, walizificha sebuleni au jikoni??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duuuu!!! namshukuru mamaangu na babaangu walinilea vzr na kwa maadili.Kutukana tusi kama hilo kwa mtu nisie mjua wala hata sijawah kumuona tena kwa vitu vya ajabu eti pesa wanakula wengne.Mungu akusamehe akupe maarifa kidogo angalau ujitambue.
Shukran
 
Taarifa ya kupotea kwa 1.5 trn uliambiwa na mwanasiasa ama mhasibu? ona ujinga wako wa kufuata maneno tupu ya wanasiasa πŸ˜€
Mkuu, unajua ukiwa unamwamini sana mtu uku ukiwa unamsifia then unakuja kupata habari kama hizi huwa ata uharo unaweza ukaona unatokea kwenye vidole vya mguu kwa hasira.... we wastahmilie tu mana naona kuna mmoja kaja kuandika tusi kubwa ana stress tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…