Pres. Kenyatta to host UK Prime Minister Theresa May in Nairobi

Whaaaat! Hii maneno ya May, Trump na China imewakasirisha watani wetu wa Jadi sana ....hehehehe M7 alipotua Dar nyuzi zilifunguliwa ila walichozungumza hakikueleweka kati ya Nchi hizi mbili LDC.
 
August 30 tunatarajia wafuasi wa Jiwe kufungua nyuzi zaidi ya mia kwa wivu na povu ila Theresa May hatahairisha safari yake hapa Kenya.
 
Mawazo yako tu hayaoneshi any strategy ya nchi yenu kujikwamua kiuchumi hasa kwa kuongeza bidii katika ufanyaji kazi na kubana mianya yote ya upotevu wa mapato na matumiz bora ya kodi.

Ila umejikita zaid katika omba omba suala ambalo kamwe kama nchi haiwez jitoa kwa umaskin mkubwa kiasi mnashindwa hata kufeed your citizens.

Ushaur wangu kwa marais wa nchi zote Africa hebu wajitambe na walete hoja mezan za maendeleo ya nchi zao na bara kwa ujumla na sio huu ujinga wa kuwafurahia marais wetu kwenda kuonana na hao wanyang'anyi kwa njia za misaada.

Bravo My President JPM
Bravo My Country Tanzania.

Da Pride.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bravo
 
Akili ndogo itabisha hata hili,maendeleo gn yanawezafanyika bila usalama? Otherwise ufia chama umewakubuhu mpaka nyeusi mwaita nyeupe,macho na akili za kushikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyinyi wenye security na amani ya kutosha, mbona mpo kikundi cha Nchi chache masikini hohe hahe duniani(Least developed Countries)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…