- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Siku ya Alhamisi, tarehe 4 Juni, Rais Barack Obama wa Marekani atatoa hotuba huko Cairo, Misri, akielezea azma yake ya dhati ya kushirikiana kikamilifu na nchi na jumuiya ya kiislamu duniani kote kwa misingi ya kuheshimiana na kulinda maslahi ya pande zote. Aidha, Rais ataelezea namna ambavyo Marekani na Jumuiya za Kiislamu duniani kote wanaweza kutatua baadhi ya tofauti zao na masuala mengine yanayowagawa.
Jisajili katika tovuti SMS - America.gov ili kuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kupata dondoo muhimu za hotuba ya Rais Obama na kutuletea maoni yako kuhusu hotuba hiyo.
English ONLY users:
On Thursday June 4 at 1 p.m., U.S. President Barack Obama will give a speech in Cairo, Egypt, outlining his personal commitment to engagement with the Muslim world, based upon mutual interests and mutual respect, and to discuss how the United States and Muslim communities around the world can bridge some of the differences that have divided them.
Sign up at SMS - America.gov to be among the first to get highlights of President Obamas speech and tell us what you think.