Tempest
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 245
- 430
Habari
Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki
Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue imekuwa ileile mwaka wa 3 mfululizo
Nimepata hii story kwa wahusika nimeona ajabu nikaona nijaribu kufuatilia labda shida ni nini au wanawezaje kuepuka kama wakitaka kujaribu next time maana naona wameshakata tamaa, Upande wa pili kuna majibu ya kishirikina walipata baada ya kufuatilia lakini ya kisayansi ndio bora zaidi kwasasa