Presha ya kushuka

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
325
Reaction score
39
Hello mwanajamii! Natumaini unaendelea vema na kazi zako za kila siku. Hapa napenda kukushirikisha namna mtu anaweza kuepukana na tatizo la presha ya kushuka. Wapo watu wana hamu sana kujua namna ya kuweza kufahamu namna ya kupambana na matatizo mabalimbali ya kiafya lakini hawapati huo msaada na hii huwa inatokana na mazingira yanayotuzunguka na binadamu yeyote huishi kuendana na mazingira yanayomzunguka. Hapa nakupatia uelewa wa lishe muhimu iliyoandaliwa kiasilia na kufanyiwa utafiti wa miaka mingi na kuonekana kutokuwa na madhara katika afya. Imethibitishwa kutumika kote duniani kwa ajili ya afya na kwa hapa Tanzania imethibitishwa pia na mamlaka ya chakula na dawa(TFDA).

Fuatilia maelezo muhimu kwa ajili ya hii lishe kwa ajili ya Presha ya kushuka.

REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI


  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE


  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

REISHI ni 85000/-, REVIVE ni 60500/-
 

Attachments

  • REISHI.jpg
    16.2 KB · Views: 100
  • REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 91
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…