Nina miaka 39 nduguUna umri gani mkuu..
Asante sana. Nitatekelezakikaniki dawa ya magonjwa mengi ni mazoezi,halafu lazima uwe na nidhamu ya kula yaani asubuhi kula sana,mchana kidogo halafu jioni juice au hata chai tu
Unaweza kupitia chati hapa chini ujue unapaswa kuwa na msukumo wa damu kiasi gani, baadae nitarudi kwa ajili ya maswali na ushauri.Nina miaka 39 ndugu
Shukrani sana kwa ushauri wako. Nitazingatia yote1. Kwa umri wako tizi linakuhusu sana hata kama ni kutembea kwa saa kila siku.
2. Lishe; punguza chumvi, mafuta (sp. animal fats), wanga (hasa mlo wa usiku), ongeza matunda na mboga za majani, binafsi matango, mdalasini na asali ni msaada sana kwangu.
3. Uhusiano kati ya uzito na urefu wako (BMI) sio rafiki hivyo pambana upunguze japo 8kg.
Mimi hali ilikua mbaya zaidi .. Kwa sasa niko vzr .
nahisi nina tatizo kama lako mkuu..
Kapime rafiki yangu. Kapime ujue nini tatizonnahi
nahisi nina tatizo kama lako mkuu..
Sawa mkuu..Kapime rafiki yangu. Kapime ujue nini tatizo