Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa nitakusaidiaje?Katafute majina ya dawa kwanza na ametumia kwa muda gani hizo dawa?Na kwa dosage gani?Hata sizijui majina...
sasa nitakusaidiaje?Katafute majina ya dawa kwanza na ametumia kwa muda gani hizo dawa?Na kwa dosage gani?
Siwezi kukussaidia kwa mustakbali huu samahani kwa kusema hilo nahitaji info zaidi....Kwa kweli katumia nyingi sana. Kuanzia za Sanitarium hadi hospitalini. We niambie tu iwapo utataja tofauti na alizonazo then sawa.
Sasa unaenda mwaka tangu aanze. Inakuwa siku mbili yupo vizuri siku 3 mgonjwa.
Wakuu salaam.
Naomba kufahamishwa tiba ya kufanya presha iwe normal. Mgonjwa ana tatizo la kupanda presha..na kapewa dawa mbalimbali hadi sasa analalamika zinamuumiza tumbo.
Mkuu nimesoma. Yupo Kilimanjaro.