simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kasema habari zenu au habari yako?
Amesema habari yako. Nadhani he was addressing individual Kenyan viewer not the Kenyan nation.
Ngoja waje..watajibu vizuri hoja zako.. Kodolea tu screen yako mithili ya fundi saa..
Wakenya wapo juu kutokana na maneno mawili ya Obama,HABARI ZENU na KWAHERINI?
My hairz!
Wakenya wapo juu kutokana na maneno mawili ya Obama,HABARI ZENU na KWAHERINI?
My hairz!
Umekurupuka mtoa mada Obama kuongea kiswahili ajabu iko wapi? Huko ni kwao na anampenda sana Grandii wake chalii yangu