President Magufuli ignored regional leader's phone calls to discuss COVID-19

Only if and only if Kenya benefits is when coordinated efforts is important, but if Kenya decides to enter business agreement with USA or Europe against regional/AU policy, that is OK?

Kenyans are the most selfish and Jealous people under the Sun.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why can't you be civil in your responses? Demonizing doesn't prove any point except of who you are. Please stop the insults.
It's not how we approach challenges or criticism as Tanzanians; it shouldn't be!
 
Tumekosea kumuweka kiongozi asiye na vision. Ana mentality za kisoshalisti lakini haujui huo usoshalisti ukoje.
Hana vision kwenye lipi corona au uchumi mbona ueleweki na hizo mentality za kisociliast unazodai anazo amezionyesha wapi. Na swali la mwisho Tanzania tuna mfumo gani wa kiuchumi?
 
Simu zinaambukiza corona 😀 ukipokea tu imo. Ushauri toka kwa jeska yule kilaza wa kudom.
 
Hana vision kwenye lipi corona au uchumi mbona ueleweki na hizo mentality za kisociliast unazodai anazo amezionyesha wapi. Na swali la mwisho Tanzania tuna mfumo gani wa kiuchumi?
Analeta vitu ambavyo hawezi hata kuvijibu,msamehe bure.
 
Mnajiuliza majirani wanataka nini lakini hamtaki kupokea simu muwaulize wanataka nini. Hivi JPM hajiamini kiasi hicho? Kwamba akipokea simu na kuongea na wenzake moja kwa moja atatakiwa kufanya atakachoambiwa? Rais wangu hajawahi kuwa dhaifu kiasi hiki ila ninyi praise team mnamuwakilisha na kumshauri vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is no need to pick a phone from a coward man....
Kila mmoja apambane na hali yake,ni kheri mkafunga tu mpaka wenu na tanzania...Jiwe alishtuka kitambo sana and now things go
 
Mtuache Kama mnaona tz itawaambukiza fungeni mipaka tusije Wala kuleta vitu kwenye tunchi twenu huto alafu tutaona nani mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumwa? Tanzania has decided not to discuss Covid19....bring other stories...this one you will be just wasting your time.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…