President Museveni writes to Tanzania's Magufuli, warms him to stop provoking Ugandans

inahitaji akili ya ziada kuelewa so swala la kingereza na Akili pia ifanye Kazi good msg
 
Mkuu mleta mada ni kanjanja.
Hiyo stori imeandikwa na mwandishi wa Uganda Monitor na si Museveni.
Mleta mada is definately not a clear thinker, the article was to be taken with a pinch of salt, and wa directed towards Museveni and not by Museveni!!
 

Sio usanii. Muandishi kawa sarcastic. Kwa maana ingine katuma ujumbe kwa rais wao Museveni.
 
Narudia soma tena, inawezekana tatizo likawa Kingereza au Lugha aliyotumia- Satire
Mbona kaeleweka? Na ujumbe anapeleka kwa UG

nmependa sana alivo tumia fasihi, kweli maguful n mfano na gumzo kila kona. endelea kuwa mfano rais wetu.
 
Mkuu akyamungu ujaelewa kitu chochote
 
"when we get our own Magufuli"

teh teh teh
we are really sorry about this statement,as we know,there is only one Magufuli,"the lion of Africa"

anyway,your dreams are valid,hoping for better Uganda under your own Magu boy,but this will only be possible under free&fair election

teh teh teh
 
Sidhani kama umeelewa tafadhali rejea tena na tena kusoma hilo bandiko utacheka na kuburudika.

 

Mkuu upo sahihi sana,lakini baadhi ya watu wengi hawajakuelewa

point yako ni nzuri,ni kweli kuwa hivi ni vijembe kwa Rais wao,lakini kwanini wamtumie Magufuli kama daraja kufikisha ujumbe wao?kwanini wasitumie jina la Kagame?

huu ni uadui unatengenezwa kimya kimya.na hii ndiyo ilikuwa point yako lakini wadau hawakukuelewa

wasamehe sana mkuu
 

Hi Kansiime! if you are not then you must be a distant relative to her, nice humor though!
 
Hawa jamaa wana utani na mu7 eti "when we get our own Magufuli, we shall? revenge? Teh teh
 
 
I love this article! ni vyema viongozi wa nchi jirani wakajifunza kutoka kwetu.
Ukiachana na sifa kubwa tuliyonayo kwenye swala la kupokezana vijiti kwa amani.
uongozi wa awamu ya 5 unafungua mlango mpya na naamini viongozi wote wa Afrika wataliona hili na kujifunza.
 
Wakenya.n.wezi..wahunii..wabaguzi na sasa wamekuwa wachonganishii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…