President Museveni writes to Tanzania's Magufuli, warms him to stop provoking Ugandans

hii mada hata ingeandikwa kwa kiswahili still kuna viazi mviringo wangechemka tu.....
 
Pole sana. Kiingereza ni tatizo kwa tz. Sijui Level yako ila lugha iliyotumika hata Form six angeelewa tu.
Check Ulivyoaibika!!!!!!
 


Plagiarism at work...

Mleta maada, kwanza nikupongeze kwa kusudio lako la kuleta thread humu ndani, Lakini at the same time unatakiwa kufungwa jela or any punishment fit to your action of plagiarism.....

Article hiyo hapo juu kama ilivyoletwa na mdau, imekuwa copied and edited kutoka gazeti la new Zimbabwe. ilikuwa ni makala yenye maoni kutoka kwa wasomaji/waandishi, yaani Colomunist kama inavyoitwa kwa Kizungu...kutoka kwa mwandishi aitwaye...(Eliphas Taonezvi)

mfano, fuatilia link hii..Zimbabwe - Stop It Tanzania! Stop Provoking Us - allAfrica.com ...na inasomeka hivi,
[h=1]Zimbabwe - Stop It Tanzania! Stop Provoking Us...[/h]Mkuu, pitia kwenye link niliyoitoa hapo juu na ufananishe na article yako uliyo copy kutoka hukoo...
 

Plz soma vizur huku umetulia.
 

Mkuu einstein newton

Maendeleo ya mwanadamu yanachangiwa na vitu vikuu viwili, navyo ni Elimu na Mazingira....kwa nionavyo mimi, mchangiaji amekuwa mhanga wa mambo yafuatayo:-

1. mchangiaji alishindwa kushawishi umma umwelewe anamaanisha nini. kwa maana nyingine, matarajio ya walio wengi kuhusu kile walichokuwa wanakitarajia kutoka kwa mchangiaji ni sub standard/poor

2. kwamba sifa ya mchambuzi katika suala lolote ni kuwa focused....but with logic!! na hilo mchangiaji hakuliona/ halijui

3. Kwamba mchangiaji aligubikwa na hisia hasi (Negative Mind) badala ya positive one....

Anyway, Mungu ibariki TANZANIA
 
Nimependa i wish mungeelewa Kilichoandikwa excellent!!! And we pray u get ur own Magufuli soon!!! But wil Museven so easly let go of his deer so loved Pearl of Africa?????
 
Narudia soma tena, inawezekana tatizo likawa Kingereza au Lugha aliyotumia- Satire
Mbona kaeleweka? Na ujumbe anapeleka kwa UG
Kicchwa cha habari Na habari yenyewe haviendani, ndo ninachoona, ila uandishi ni wa kimafumbo au kejeli Kwa waganda M7 mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…