Ma XXXL wa kizungu ni safe bet kaka. Hao wengine hawaaminiki. Take it from me.
Kwahiyo nikikosa wa kuni'import' ndio basi tena nisahau gamba bila mzee wa kizungu? Kwanini unadhani sio rahisi wanaokutana huko huko kuona? Mi nilidhani wanaokuja wenyewe ndio wanafurahiwa zaidi maana hamna gharama za kumvuta huko.
indeed no wonder kabula ni '0.5' !
Ya kiJF JF nimeipenda zaidi . . Sasa sijui rais utanisaidia list ya wabeba box wako walioko hapa niangalie uwezekano. . . ?Hii haina formula. Mnaweza mkawa mnafahamiana kabla au mmefahamiana huko huko majuu au mnaweza mkawa mmefahamiana hapa hapa JF.
That is only if you can handle it...if you can't handle it then I guess there will be some problems. But I've met some people who are able to handle it so I guess it is doable.
Companero anaandika kama anajua jibu analolitafuta.
Mkuu kama una data, we mwaga sio, personal experience pia inakubalika :eyebrows:
Companero anaandika kama anajua jibu analolitafuta.
Mkuu kama una data, we mwaga sio, personal experience pia inakubalika :eyebrows:
wabeba maboksi wanaogopana - na gharama za kuoa/kuwa na mbeba maboksi mwenzako ni kubwa maana wote mnakuwa mmejanjaruka !
Mama Kabula model wewe....
Sasa sindio fresh wote mkiwa mmenjaruka mnachangamka na mabox mpate nauli ya kuja bongo na doleri za kuosha mtaani badala ya mmoja kumtegemea mwenzake?
nyani anafanya conservative cost-benefit analysis, awe liberal kidogo; inawezekana kupata vyote - mlatina wa nguvu na kijani vile vile!
Latina | The #1 lifestyle, entertainment, beauty and fashion site for Latinas
Ya kiJF JF nimeipenda zaidi . . Sasa sijui rais utanisaidia list ya wabeba box wako walioko hapa niangalie uwezekano. . . ?
Hhhm. . Kweli hiyo inahitaji moyo. Kama wewe ungekua bado hujaukwaa urais, na mtaani hupiti kwa amani alafu ukapata msichana ambae ana kazee kake ungeweza kuvumilia?
anyone can be a model, size doesn't matter ndio maana wapo mamodeli wa xxl
LOL. . .anyone can be a model, size doesn't matter ndio maana wapo mamodeli wa xxl
Basi wanaume (sio wote) mnapenda sana kutumiwa.unadhani mfumo dume, kama uchawi, hauvuki bahari ?
Mama Kabula ni size 1.
Ngoja ntacheki kwene database nione nani ni eligible bachelors.
Hapana aisee. Unajua kuna kitu kinaitwa 'male ego'. My ego won't be able to handle that.
LOL. . .
Basi wanaume (sio wote) mnapenda sana kutumiwa.
ps. utafiti wa nn sr umekamilika !
Ntashukuru sana Mh. . .
Siku nikikwapua gamba mshahara wangu wa kwanza baada ya hapo nakugea.
wanaotumiwa ni wanawake kwenye mfumo dume - mchuchu mbeba boksi aliyejanjaruka ni balaa, waume zao wanalia na kusaga meno ndio maana wanaona ni afadhali waagize kabinti nyumbano ila si unajua tena mambo ya Professor Jay ft. Ferooz - Nikusaidiaje? - YouTube !
Hebu nirushie kwenye PM hayo matokeo ya utafiti.