President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

NN na wenzio rudini nyumbani lakini tujenge taifa!
 
Gaijin hizo posti za Steve Dii niliziona, kwa kweli kazidisha, hata Nyani Ngabu na Companero hawamfikii - katoa live sopu opera ya DP na KM !
 

Naona inabidi tutumie acronyms ili tumlinde Nshomile Gaijin, kama sikosei watoto wengi wa mlimani wameishikia kuwa wabeba maboksi, una updates zao kwenye database ? Watoto wa Kileleni (kina D, K, et al), Sinza Road (M, M, et al), Ubungo Flat (T, L et al ) n.k.
 

K wa Kileleni yupo kwenye database
Hao last name Mbughuni wapo kwenye database pia
 
Nilitaka kuuliza ka swali lakini nimeghairi!
 
Ha Ha Ha! Kwa hiyo Mkuu we ushajipatia Tunye Tunye lako!

Ohoooo zubaa uzikwe, mwenzako alishajipatia makaratasi siku nyiiiiiingi, huoni anavyojiamini? sasa hvi naona yuko kwenye transition from tunye tunye to mbeba mabox mwenzake....
 

Kweli nimekubali we ni rais wa wabeba mabox.
 
Tofauti sana na unavyodefine wewe.

Madam Lizzy aamua kuwa mtata.

amjibu hunter baada ya kumsumbua prezident.
Hunter hakupatikana kujibu mapigo.
Inatarajiwa kuwa atapatikana muda si mrefu, stay tuned lol
 
huwanahisi Lizy ni wakulekule kwa kina Nshomile maana anavichembechembe flan kwenye majibu yake
 

Madam Lizzy aamua kuwa mtata.

amjibu hunter baada ya kumsumbua prezident.
Hunter hakupatikana kujibu mapigo.
Inatarajiwa kuwa atapatikana muda si mrefu, stay tuned lol


Hahahahaha. . . Very funny.
 

unatoka fasta kama bro kaju alivyo pata kijani kupitia xxxl wake mpaka na timu unamiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…