W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Apr 7, 2020 #1 Leo ikiwa ni kumbukumbu ya Rais Karume, sio mbaya tukamkumbuka pia mwamba mwingine waliyeyasiasi haya mataifa Tanganyika na Zanzibar. Hapa ni mwalimu Julius Nyerere akiwa katika ziara huko kwa wakoloni. Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya Rais Karume, sio mbaya tukamkumbuka pia mwamba mwingine waliyeyasiasi haya mataifa Tanganyika na Zanzibar. Hapa ni mwalimu Julius Nyerere akiwa katika ziara huko kwa wakoloni. Sent using Jamii Forums mobile app