Kumwambia huyu jamaa aache kumtii raisi wake ni kumuonea, haiwezekani.
Mimi nimeona watu kibao kabla ya uchaguzi, wanafanya kama utamaguni, au job description yao kumsaidia raisi /mgombea wa ccm sehemu anpotaka kwenda. Wanatumia resources za seriakli kuandaa kampeni, kurake eneo ili kampeni iwe shwari.
There was never fair ground.
Waende bungeni wakapiganie haki zetu. Wakichezea hawarudi next time, miaka mtano si mingi, ila natafuta sheria ambayo mbunge anaweza kutolewa kwa interests za jimbo lake.