President Riek Machar has been spotted in Dodoma, Tanzania where he is allegedly seeking refuge

Wale waarabu walifanya la maana sana kujitenga na hawa jamaa, maana walikuwa wanasema wanabaguliwa sasa mbona wenyewe kwa wenyewe (weusi kwa weusi) hawaelewani ?
Ndugu yangu hii ngozi yetu ni matatizo
 
Kwahiyo wewe mwenye fikra pana unaweza kuchochewa na mtu mwingine kubaka katoto ka miezi 2 ???

Miye mwenyewe mtoto, kubaka mwenzangu ntaanzia wapi? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wale waarabu walifanya la maana sana kujitenga na hawa jamaa, maana walikuwa wanasema wanabaguliwa sasa mbona wenyewe kwa wenyewe (weusi kwa weusi) hawaelewani ?
Waarabu kimya...nadhani hata ICC wanaona aibu kwa Omar Ali Basheer
 
Siwezi amini habari ya aina hii especially coming from a Kenyan media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…