President Ruto suspend purchase of new vehicles suspended, except for security

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
SUMMARY OF PRESIDENT RUTO'S SPEECH

▪️Dissolving 47 state agencies, to be merged with overlapping ministries

▪️Appointments of Chief Administrative Secretaries immediately suspended
Govt advisors reduced by 50% in public service

▪️Budgets for First, Second and Third Ladies to be removed

▪️Public servants to retire at 60 years old sharp!

▪️Purchase of new vehicles suspended, except for security

▪️Non essential travel by state or public officers suspended

No state or public officials to participate in harambees (fundraising) onwards

1720182692115.png

1720182863152.png
 
It is not done until its done. Rutto is machiavellian and Gen Z are maverick, he has to be prepared for the worse
 
Watanzania fanyeni jambo ili haya mambo nanyi yafanyike.Itawasaidia ktk mambo mengi
 
Bora kapunguza matumizi ya ndan kuliko kuwapa mzigo wananchi wa kodi kubwa.Huku kwetu mke wa rais ni mbunge analipwa miposho kibao na mshahara lakini bado anataka tena alipwe kisa alikua nke wa rais.
 
Bora kapunguza matumizi ya ndan kuliko kuwapa mzigo wananchi wa kodi kubwa.Huku kwetu mke ea rais ni mbunge analipwa miposho kibao na msharmhara lakini bado anataka tena alipwe kisa alikua nke wa rais.
huko kwenu kuna mke wa rais?
 
SUMMARY OF PRESIDENT RUTO'S SPEECH

▪️Dissolving 47 state agencies, to be merged with overlapping ministries

▪️Appointments of Chief Administrative Secretaries immediately suspended
Govt advisors reduced by 50% in public service

▪️Budgets for First, Second and Third Ladies to be removed

▪️Public servants to retire at 60 years old sharp!

▪️Purchase of new vehicles suspended, except for security

▪️Non essential travel by state or public officers suspended
No state or public officials to participate in harambees (fundraising) onwards
View attachment 3034311
View attachment 3034312

Mh. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) waziri wa fedha chini ya serikali ya Dr. Samia Suluhu Hassan wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aione.
 
Bora kapunguza matumizi ya ndan kuliko kuwapa mzigo wananchi wa kodi kubwa.Huku kwetu mke wa rais ni mbunge analipwa miposho kibao na mshahara lakini bado anataka tena alipwe kisa alikua nke wa rais.
kweli hakuna hela rahisi za kuchezea kama za watanzania familia inalipiwa kila kitu mpaka gharama za kunyonya vyoo vyao lakini wakaona haitoshi na wake zao walipwe posho na mishahara hivi kuna nini walichofanya chakuhudumiwa mi naona nchi inazidi kuwa ngumu hii hakuna cha ajira wala mitaji kwa raia viongozi wetu wao ni kujitafunia nchi tu
 
Inasikitisha sn, watanzania lini wataamka toka usingizi mzito huu?
 
Ile kauli ya kenyata, yawezekana tunahitaji kwenda kwenye kaburi lake ili tuitengue, mana yawezekana ni kweli kwamba watanzania ni maiti.
 
Kwa wasiojua matumizi ya kishenzi kama hayo ya safari na magari mapya yanakula billions of dollars, wakati wa Magufuli tulikuwa hatuoni maofisa DC or New York ila sasa mnapishana nao wanafanya shopping kwenye malls na wengine wamebeba mpaka familia zao bila aibu, ni pesa nyingi sana zinapotea kwa haya mambo ya kipuuzi, room zinalipiwa rate ya 500$ per nite acheni tuu
 
Back
Top Bottom