It is not done until its done. Rutto is machiavellian and Gen Z are maverick, he has to be prepared for the worseSUMMARY OF PRESIDENT RUTO'S SPEECH
▪️Dissolving 47 state agencies, to be merged with overlapping ministries
▪️Appointments of Chief Administrative Secretaries immediately suspended
Govt advisors reduced by 50% in public service
▪️Budgets for First, Second and Third Ladies to be removed
▪️Public servants to retire at 60 years old sharp!
▪️Purchase of new vehicles suspended, except for security
▪️Non essential travel by state or public officers suspended
No state or public officials to participate in harambees (fundraising) onwards
huko kwenu kuna mke wa rais?Bora kapunguza matumizi ya ndan kuliko kuwapa mzigo wananchi wa kodi kubwa.Huku kwetu mke ea rais ni mbunge analipwa miposho kibao na msharmhara lakini bado anataka tena alipwe kisa alikua nke wa rais.
Mme wa rais yupo ila wake za marais wanaliopita wanaliowa mshahara wakati mmewe nae analipwa .huko kwenu kuna mke wa rais?
mume wa rais akilipwa kwani kuna shida gani kwa kazi nzuri anayoifanya?Mme wa rais yupo ila wake za marais wanaliopita wanaliowa mshahara wakati mmewe nae analipwa .
SUMMARY OF PRESIDENT RUTO'S SPEECH
▪️Dissolving 47 state agencies, to be merged with overlapping ministries
▪️Appointments of Chief Administrative Secretaries immediately suspended
Govt advisors reduced by 50% in public service
▪️Budgets for First, Second and Third Ladies to be removed
▪️Public servants to retire at 60 years old sharp!
▪️Purchase of new vehicles suspended, except for security
▪️Non essential travel by state or public officers suspended
No state or public officials to participate in harambees (fundraising) onwards
View attachment 3034311
View attachment 3034312
kweli hakuna hela rahisi za kuchezea kama za watanzania familia inalipiwa kila kitu mpaka gharama za kunyonya vyoo vyao lakini wakaona haitoshi na wake zao walipwe posho na mishahara hivi kuna nini walichofanya chakuhudumiwa mi naona nchi inazidi kuwa ngumu hii hakuna cha ajira wala mitaji kwa raia viongozi wetu wao ni kujitafunia nchi tuBora kapunguza matumizi ya ndan kuliko kuwapa mzigo wananchi wa kodi kubwa.Huku kwetu mke wa rais ni mbunge analipwa miposho kibao na mshahara lakini bado anataka tena alipwe kisa alikua nke wa rais.
Inasikitisha sn, watanzania lini wataamka toka usingizi mzito huu?kweli hakuna hela rahisi za kuchezea kama za watanzania familia inalipiwa kila kitu mpaka gharama za kunyonya vyoo vyao lakini wakaona haitoshi na wake zao walipwe posho na mishahara hivi kuna nini walichofanya chakuhudumiwa mi naona nchi inazidi kuwa ngumu hii hakuna cha ajira wala mitaji kwa raia viongozi wetu wao ni kujitafunia nchi tu
Ile kauli ya kenyata, yawezekana tunahitaji kwenda kwenye kaburi lake ili tuitengue, mana yawezekana ni kweli kwamba watanzania ni maiti.Inasikitisha sn, watanzania lini wataamka toka usingizi mzito huu?