President Trump has ORDERED the termination of "every single media contract" expensed by the General Services Administration

President Trump has ORDERED the termination of "every single media contract" expensed by the General Services Administration

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,251
Reaction score
22,929
After revelations the US Agency for International Development (USAID) has been funneling millions to media outlets around the world, President Trump has ORDERED the termination of "every single media contract" expensed by the General Services Administration.

The list includes, POLITICO, BBC & Bloomberg . . . and many others.

USAID was funding over 6,200 journalists across 707 media outlets and 279 "media" NGOs, which includes 90% of the reportage out of Ukraine.
 
Wajali watu wao kwanza,utalishaje watoto wa watu na wa kwako wanakufa njaa.Huo ni ujinga.
tramp anakuwa kama mchoyo, mlaku, mnyimifu fulani hivi ambaye hataki chakula chake kiliwe hata na masikini. Ni tajiri jeuri
 
tramp anakuwa kama mchoyo, mlaku, mnyimifu fulani hivi ambaye hataki chakula chake kiliwe hata na masikini. Ni tajiri jeuri
Mkuu mtu ale changu kama ni lazima and appropriate.Ilichokuwa inafanya Marekani ilikuwa inafanya Marekani ni ku-contract wengine kushiriki katika uovu wake worldwide,which is unnecessary,na hiki ndicho,Trump anachosema,no,and enough is enough,nitajali watu wangu kwanza.To me this is good.
 
tramp anakuwa kama mchoyo, mlaku, mnyimifu fulani hivi ambaye hataki chakula chake kiliwe hata na masikini. Ni tajiri jeuri
Elon Musk ndiyo mbwa kabisa mkuu, Jitu limezaliwa Afrika ila Lina roho Mbaya kabisa ama kweli waafrika ni makatiri sana.

Note Elon Musk ni Mwafrika kwa kuzaliwa.
 
Elon Musk ndiyo mbwa kabisa mkuu, Jitu limezaliwa Afrika ila Lina roho Mbaya kabisa ama kweli waafrika ni makatiri sana.

Note Elon Musk ni Mwafrika kwa kuzaliwa.
Roho mbaya ya Musk ni nini mkuu
 
Wajali watu wao kwanza,utalishaje watoto wa watu na wa kwako wanakufa njaa.Huo ni ujinga.
True. Ukiona hizo desperate measures, maana yake ni kwamba vita vya Urusi-Ukreni vimewaathiri vibaya mno. Trump yupo hapo ili kuokoa jahazi lisizame mazima.
 
angeitetea afrika isikose misaada
Misaada inawatia usahaulifu wanaoshika madaraka,kama Tanzania budget ya ndani zaidi ya 50 percent inatumika kuhudumia serikali kwa vitu luxury magari mapya kila siku mara ndege ya raisi kulipana posho etc.

Huku wakitega bakuli hela za msaada zije na zenyewe wanakula tena ngoja wabanwe labda wataona hali inakuwa mbaya kwa wananchi hizi hizi wanazokusanya wenyewe wazitumie kwa nidhamu.
 
Back
Top Bottom