tramp anakuwa kama mchoyo, mlaku, mnyimifu fulani hivi ambaye hataki chakula chake kiliwe hata na masikini. Ni tajiri jeuriWajali watu wao kwanza,utalishaje watoto wa watu na wa kwako wanakufa njaa.Huo ni ujinga.
Mkuu mtu ale changu kama ni lazima and appropriate.Ilichokuwa inafanya Marekani ilikuwa inafanya Marekani ni ku-contract wengine kushiriki katika uovu wake worldwide,which is unnecessary,na hiki ndicho,Trump anachosema,no,and enough is enough,nitajali watu wangu kwanza.To me this is good.tramp anakuwa kama mchoyo, mlaku, mnyimifu fulani hivi ambaye hataki chakula chake kiliwe hata na masikini. Ni tajiri jeuri
Elon Musk ndiyo mbwa kabisa mkuu, Jitu limezaliwa Afrika ila Lina roho Mbaya kabisa ama kweli waafrika ni makatiri sana.tramp anakuwa kama mchoyo, mlaku, mnyimifu fulani hivi ambaye hataki chakula chake kiliwe hata na masikini. Ni tajiri jeuri
angeitetea afrika isikose misaadaElon Musk ndiyo mbwa kabisa mkuu, Jitu limezaliwa Afrika ila Lina roho Mbaya kabisa ama kweli waafrika ni makatiri sana.
Note Elon Musk ni Mwafrika kwa kuzaliwa.
True. Ukiona hizo desperate measures, maana yake ni kwamba vita vya Urusi-Ukreni vimewaathiri vibaya mno. Trump yupo hapo ili kuokoa jahazi lisizame mazima.Wajali watu wao kwanza,utalishaje watoto wa watu na wa kwako wanakufa njaa.Huo ni ujinga.
Misaada inawatia usahaulifu wanaoshika madaraka,kama Tanzania budget ya ndani zaidi ya 50 percent inatumika kuhudumia serikali kwa vitu luxury magari mapya kila siku mara ndege ya raisi kulipana posho etc.angeitetea afrika isikose misaada