President Trump issues a travel ban on passengers from Europian union but excludes the UK

President Trump issues a travel ban on passengers from Europian union but excludes the UK

Kaduguda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2008
Posts
724
Reaction score
641
Akihutubia taifa kutokea ikulu ya Marekani leo, Rais wa Marekani Donald Trump ametoa lawama kwa Umoja wa Ulaya kwa kutochukua hatua za haraka katika kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona. Kufuatia hilo, ametoa zuio la wasafiri wote kutokea umoja wa ulaya kuingia nchini Marekani kuanzia saa sita usiku Ijumaa ya wiki hii. Zuio hili kwa sasa litadumu kwa muda wa siku 30. Taarifa yake imekuja muda mchache tu baada ya WHO kutangaza kwamba Corona Virus ni janga la kimataifa (World Pandemic).

Kuwait nao wametangaza No international flights kuingia wala kutoka ndani ya Kuwait.

Daah dunia simama nishuke, maana unakotupeleka sikujui.

Huu ndio wakati wa watu wa MUNGU kuomba sana!
 
Back
Top Bottom