President Uhuru Kenyatta hosts Chavakali Boys High School at Statehouse, Nairobi

President Uhuru Kenyatta hosts Chavakali Boys High School at Statehouse, Nairobi

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
1486682_1005008346194385_4401582706801422111_n.jpg

1518424_1005004759528077_3855297284444196695_n.jpg

1526525_1005007699527783_3577279352581574215_n.jpg

10386364_1005006892861197_4526962863834178649_n.jpg

[TABLE="class: uiGrid _51mz _4oes"]
[TR="class: _51mx"]
[TD="class: _51m-"]
10968407_1005007369527816_4515629747179426645_n.jpg

[/TD]
[TD="class: _51m-"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nimependa hakuna board guards wala jamaa kibao wa usalama so madogo wamejichanganya watakavyo. Ab-Tichaz kigezo kilikuwa nini cha shule hii kuchaguliwa kutembelea WH Nairobi?
Why not mkuu sisi tunaweza na zaidi...basi tuache uhuni tu na wala siyo usanii !! ni kuacha uhuni tujitambue na kuwa makini.
 
Ab-Titchaz

huyu aliye kulia kwa president ni principal? amenona kuliko hata rais ...heheheheh
 
Last edited by a moderator:
Nimependa hakuna board guards wala jamaa kibao wa usalama so madogo wamejichanganya watakavyo. Ab-Tichaz kigezo kilikuwa nini cha shule hii kuchaguliwa kutembelea WH Nairobi?
Jamaa walishinda katika zile Naitonal Music Festivals za Kenya na kama ilivyo desturi ya KE, hua wanaalikwa Statehouse kuenda kuvinjari na pia ku-perform for the Presdo.
 
Jamaa walishinda katika zile Naitonal Music Festivals za Kenya na kama ilivyo desturi ya KE, hua wanaalikwa Statehouse kuenda kuvinjari na pia ku-perform for the Presdo.

This is good nimeipenda kweli!Hope na wengine wataiga hili kwani I'm sure linawajengea kitu fulani kizuri kabisa hawa madogo. Badala ya kualika wanajimu na vigagula sehemu yenye heshima kama hii ukialika wenye nchi kama hawa kuna value fulani una add kwenye maisha yao.
 
Bobby Enzi za Moi bana waalimu na wanafunzi walikuwa wakitoka mle na mifuko imejaa. Na ng'ombe walimla usiku huo. Kibaki alipoingia na uchoyo nao ukakithiri. Hivi sasa, Uhuru amerudisha huu mtindo ambao kwa kweli unatia motisha.

Je wajua Naibu Wa Rais - William Ruto alikuwa akimwimbia Moi katika Ikulu ya Rais Enzi zile?:lol::lol::lol:
 
Ab-Titchaz

huyu aliye kulia kwa president ni principal? amenona kuliko hata rais ...heheheheh

Sidhani, huyu ni mwalimu wa Drama na Music...japo kavimba kishenzi...lol!

Principal huyu hapa chini..aliyekatikati na wazazi.

pta.png
 
I really like this. Kwanza the video is just so………speechless. My village school Chavakali,Vihiga County. Safi sana prezzo.
 
Nimeipenda hii sana. Leaders have to inspire...
 
Back
Top Bottom