Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
AiSayee ndugu Jirani hawa ni viboko !!:A S-heart-2:
Why not mkuu sisi tunaweza na zaidi...basi tuache uhuni tu na wala siyo usanii !! ni kuacha uhuni tujitambue na kuwa makini.Nimependa hakuna board guards wala jamaa kibao wa usalama so madogo wamejichanganya watakavyo. Ab-Tichaz kigezo kilikuwa nini cha shule hii kuchaguliwa kutembelea WH Nairobi?
Jamaa walishinda katika zile Naitonal Music Festivals za Kenya na kama ilivyo desturi ya KE, hua wanaalikwa Statehouse kuenda kuvinjari na pia ku-perform for the Presdo.Nimependa hakuna board guards wala jamaa kibao wa usalama so madogo wamejichanganya watakavyo. Ab-Tichaz kigezo kilikuwa nini cha shule hii kuchaguliwa kutembelea WH Nairobi?
Jamaa walishinda katika zile Naitonal Music Festivals za Kenya na kama ilivyo desturi ya KE, hua wanaalikwa Statehouse kuenda kuvinjari na pia ku-perform for the Presdo.