babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Huwa sipendi kupoteza muda wangu kureply comment zako kwa sababu una utapiamlo wa akili.Sasa si ni Mrusi huyo mmempaka rangi! Same thing unaniletea, nimekwambia leta jina na specs zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pambaff, jina na specs! Ka huwezi π€π€π€πππHuwa sipendi kupoteza muda wangu kureply comment zako kwa sababu una utapiamlo wa akili.
Tanzania haiwezi kuwa level moja na nchi zinazoteseka na njaa karne hii ya 21 hata baada ya kupata uhuru miaka karibu 60 iliyopita.
Hicho kifaru kimetengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Jina na specs upeleke wapi?Pambaff, jina na specs! Ka huwezi [emoji850][emoji850][emoji850][emoji16][emoji16][emoji16]
OMG! π€£ π€£ π€£ shirika la nyumbu halipeani majina kwa vifaa vyake ama? π₯΄Jina na specs upeleke wapi?
Unaifahamu Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) iliyopo chini ya Jeshi?
Tanzania imekuwa ikiunda magari ya kijeshi miaka na miaka wewe endelea kuendekeza maneno mengi yaliyojaa pumba hapo.
Tembelea Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) watakupa.Nipe specs za hiyo 'nyumbu' hapo juu!
ππΎββοΈTembelea Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) watakupa.
π¬π¬π¬Je, nikikupa jina utakuja kununua!? π€£ π€£ π€£
Unaziona model!?View attachment 1824547
Niliona hii assembly plant uko Msa. Tunafaa tujitahidi tupate experience zaidi kwa hawa wasauzi ndio tuwe na 100% home made APC's kama wao.
bruh...one picture and the thread has died down.Niliona hii assembly plant uko Msa. Tunafaa tujitahidi tupate experience zaidi kwa hawa wasauzi ndio tuwe na 100% home made APC's kama wao.
Wengine hawatakagi kuona πππbruh...one picture and the thread has died down.