President Uhuru Kenyatta’s Twitter, Facebook accounts suspended

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kenya’s President Uhuru Kenyatta’s Twitter and Facebook accounts were on Friday morning deleted in what State House claim was a result of an ‘unathorised access.’

The deactivating of the accounts raised eyebrows as it happened an hour after a message stating that no one will be spared in the war against corruption.

“If you are corrupt we will fight you. You can be my brother or my sister or my closest political ally. I won’t be clouded by ethnicity or status in my quest to leave behind a united nation and I will continue championing for Kenya’s unity.” read the tweet.

Nzioka Waita, The Chief of Staff said the accounts have been “temporarily suspended.”

“On account of unauthorized access to the official social media handles of H.E the President of the Republic of Kenya, Uhuru Kenyatta. All official social media handles for the President have been temporarily suspended to allow for the necessary remedial measures to be undertaken,” he said.

Citizen TV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mti wenye matunda ndio huwa unatupiwa mawe. Kuna madikteta wengine ukanda huu(sijataja mtu) ambao ukijaribu kupitia pitia kwenye twitter handle zao huwa unapata mipasho na kauli za ajabu ajabu. Rais U.K. azidi kuwabana kabisa, vita dhidi ya ufisadi viendelee hadi kieleweke.
 
Hehe Uhuru ni mwoga wa mwisho..Yaani anakimbia kwenda namibia kumchonganisha naibu wake sababu ya ufisadi halafu anayoyasema yana mkera Ruto na hapo hapo ruto anazomea vikali hadi anafunga account zake zote..
Uhuru ni takataka tu..
 
Umbea.
 
Hii Nchi ya Kenya ni ya ajabu sana mm huwa napita pembeni kwa sababu wakati wa Manyang'au walituumiza sana
Leo Uhuru yupo Namibia anasema Mafisadi anawajua wakati watu wake wanakufa NJAA huko TURKANA, kacheza na Kagame mara Museveni sasa watu wanateketea
aache ujivuni tunawasaidia chakula Madawa nk Msumbiji Malawi na Zimbabwe
wakati Ruto katoa mabilioni kusaidia chakula Kenya
 
Hayo ndio maisha ya mwizi..Full drama na kuchanganyikiwa, hawalali sababu ya kuogopana
 
Hehe Uhuru ni mwoga wa mwisho..Yaani anakimbia kwenda namibia kumchonganisha naibu wake sababu ya ufisadi halafu anayoyasema yana mkera Ruto na hapo hapo ruto anazomea vikali hadi anafunga account zake zote..
Uhuru ni takataka tu..
Huu ndio umbea, tena umbea wa kina mama wenzako sokoni wakiuza vitunguu.
 
Huu ndio umbea, tena umbea wa kina mama wenzako sokoni wakiuza vitunguu.
Mada imeletwa na Mkikuyu na clip umeiona
sasa wewe ya kwako unayopinga kuwa hawa jamaa hawapatani mpaka waKenya wanakufa huko Turkana ipo wapi tujue nani ni mbeya anashinda kwa wanaosagana?
 
Kumbe mpaka uhuru anamuogopa ruto kiasi hiki? Eti anarusha dongo alafu anajidai account hacked 😂😂😂😂😂

Huyu ndio wa kumaliza ufisadi Kenya?
Message sent and delivered
Hehe jamaa ni muoga sana..Yaani hata kama umepatwa na mke wako una commenti kwa instagram ya kipusa fulani kufuta accout yako huku ukisingizia kuhack ni ishara kuwa unamwogopa sana mkeo..
Yani wewe sio mwanaume kamili, wewe ni mwanaume mwenye uke (Beta male)
 
Mada imeletwa na Mkikuyu na clip umeiona
sasa wewe ya kwako unayopinga kuwa hawa jamaa hawapatani mpaka waKenya wanakufa huko Turkana ipo wapi tujue nani ni mbeya anashinda kwa wanaosagana?
Eti mada imeletwa na nani? Account ya rais U.K. ilifungwa na nani? Tuanze hapo. Imeandikwa wazi hapo juu, hujui kusoma? Tafuta usaidizi kama ni kiingereza kinakukanganya. Clip nayo inaongea kuhusu nini, kwasababu sio kufungwa kwa account. Jombaa, kama huwezi kujisomea mada kama hizi na unangoja tu umbea kutoka kwenye comments basi sina budi kukueleza kwamba umepotea njia. Kuna lile jukwaa lenu pendwa la MMU.
 
Kaoshe uke wako beta male😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…